Kiongozi
wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii
mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam leo, baada ya kuingia
mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa
bendi hiyo Saidi Kibiliti.
Kiongozi
wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii
mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia
mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa
bendi hiyo Saidi Kibiliti
Kiongozi
wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii
mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam , baada ya kuingia
mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa
bendi hiyo Saidi Kibiliti.(picha na www.burudan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)