Kilindo (kushoto) akipongezwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfey Simbeye
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo akizungumza wakati wa hafla hiyo
Mkurugenzi
wa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto),
akipokea mfano wa nembo ya mistari kwenye bidhaa ya Tanzania (BARCODES)
kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhamasishaji Bidhaa wa Wizara ya Viwanda na
Biashara, Odilo Majengo Kaimu katika uzinduzi wa nembo hizo, Dar es
Salaam. TBL ni moja ya kampuni kubwa nchini itakayoanza kutumia nembo
hizo za Tanzania zinazotengenezwa na kampuni ya GSI Tanzania National
Limited.
Mgeni rasmi Majengo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na watu mbalimbali walioalikwa katika hafla hiyo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)