MABONDIA MANENO OSWARD NA RASHIDI MATUMLA KUMALIZA UBISHI KESHO FEB 25 UKUMBI WA PAT SABASABA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MABONDIA MANENO OSWARD NA RASHIDI MATUMLA KUMALIZA UBISHI KESHO FEB 25 UKUMBI WA PAT SABASABA

Bondia Maneno Osward akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika katika ukumbi Wa PTA sabasaba jumamosi ya Feb 25 (kushoto) ni mpinzani wake Rashidi Matumla kulia ni katibu wa PST, aNTON Luta.
Bondia Shabani Kaineko akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Antoni Mwakapalila utakaofanyika katika ukumbi wa PTA sabasaba kesho kulia ni Katibu wa Shilikisho la ngumi za Kulipwa Tanzania PST Anton Luta
Bondia Furaha Nganda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika jumamosi feb 25 na bondia Monica Mwakasanga kushoto kulia ni Katibu wa Shilikisho la ngumi za Kulipwa Tanzania PST Anton Luta
Mabondia Antoni Mwakapalila akitunishiana misuri na bondia Shabani Kaineko baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa kirafiki utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa PTA Sabasaba
Bondia Furaha Nganda wakiwa katika pozi tayari kabisa kwa ya mpambano wake utakaofanyika jumamosi feb 25 na bondia Monica Mwakasanga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages