TASWIRA ZA SHEREHE ZA MIAKA 35 YA CCM NDANI YA CCM KIRUMBA MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA SHEREHE ZA MIAKA 35 YA CCM NDANI YA CCM KIRUMBA MWANZA

Rais Jakaya Kikwete akisalimia vikundi mbalimbali vya burudani na wana CCM na wakaazi wa Mwanza leo katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba
wakaazi wa Mwanza leo katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba
wakaazi wa Mwanza wakiwa kwenye maandamano ya pikipiki katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba
Wageni mbalimbali walioudhuria sherehe za miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba Mkoani Mwanza leo.

Rais Kikwete akimsalimia Katibu Mkuu wa CCM mstaafu, Philip Mangula kabla yamatembezi kuanza Ofisi ya CCM mkoa wa Mwanza. Kulia ni Katibu Mkuu Mstaafu Yussuf Makamba.
Rais Kikwete akimsalimia Nape Nnauye Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya matembezi hayo.
Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda na wakinamama wakisherehekea miaka 35 ya CCM baada ya kukunwa na wimbo wa Vicky kamata.Rais Jakaya Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano mapema asubuhi
Rais Jakaya Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakaazi wa Mwanza leo katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba.
Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA  
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages