Shamrashamra Za Miaka 35 Ya CCM Mwanza - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Shamrashamra Za Miaka 35 Ya CCM Mwanza

Maelfu ya watu waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza leo wakishangilia kwa furaha
Gwaride la Vijana wa CCM likipita kwa ukakamavu mbele ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati wa sherehe za kilele hicho. Vijana 400 wameshiriki gwaride hilo.

Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA 

Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages