MADEREVA PIKIPIKI WAKIWA WAMEFUNGA BARABARA YA SONGEA KWEWNDA
TUNDURU KARIBU NA MLANGO WA KUINGILIA OFISI YA MKUU WA MKOA WA
Ruvuma,wakilitaka jeshi la polisi mkoa huo kuchukua hatua dhidi ya
mauaji ya watu yanayoendelea mjini songea ambapo hadi sasa zaidi ya watu
8 wameuawa na watu wasiojulikana wengi wao wakiwa ni madereva wa
pikpiki.
|
Askari
wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia wakidhibiti vurugu za maandamano mjini
Songea Mkoani Ruvuma Februari 22.12. Maandamano hayo makubwa yalifanywa
na wananchi kupinga mauaji yanafanyika katika mji huo. Hadi sasa watu
wanaokadiriwa 14 wameuawa kikatili na kuondolewa baadhi ya viungo vya
sehemu za siri huku taarifa ambazo hazijathibitishwa zikidai vinatumika
katika matambiko kwenye migodi ya Uraniamu huko Namtumbo. Watu wawili
wanasadikiwa kufa katika tukio hilo. PICHA/HISANI YA MUHIDINI AMRI -
SONGEA |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)