Meneja
Udhamini na Matukio wa NBC, Bi. Rachel Remona Kimambo ( wa pili
kushoto) akikabidhi mfani wa hundi ya shs milioni kwa Nahodha wa
Kitengo cha gofu ya Wanawake cha Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam,
Vivienne Mwaulambo kusaidia mashindano yao yanayotarajiwa kufanyika Jumapili
ijayo katika klabu hiyo ijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni
maofisa wa NBC na viongozi wa kitengo hicho cha gofu.
Nahodha
wa Kitengo cha Gofu ya Wanawake cha Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam,
Vivienne Mwaulambo (kushoto) akizungumza kabla ya kupokea msaada msaada
huo kutoka benki ya NBC. Katikati ni Meneja Udhamini na Matukio wa NBC,
Bi. Rachel Remona Kimambo na kulia ni Katibu wa kitengo, Joyce Svarva.
Maofisa
wa NBC pamoja na wa Kitengo cha Gofu ya Wanawake cha Klabu ya Gymkhana
Dar es Salaam wakipiga picha ya pamoja katika hafla hiyo jijini Dar es salaam leo.
Nahodha
wa Kitengo cha Gofu ya Wanawake cha Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam,
Vivienne Mwaulambo (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa NBC
baada ya kupokea msaada msaada huo kutoka benki ya NBC. Kutoka kushoto
ni, Arden Kitomari, Meneja Chapa na Matangazo, Eddie Mhina; Mshauri wa awasiliano na Meneja Udhamini na Matukio wa NBC, Bi. Rachel Remona Kimambo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)