Mtu mmoja ambaye jina lake bado
halijafahamika akiwa amepigwa risasi na kufariki papo hapo wakati wa
vurugu kati ya wananchi na polisi mjini Songea leo.
Damu iliyomwagika baada ya mtu huyo kupigwa risasi mgongoni.
Polisi wakipambana na wananchi wakati wa vurugu hizo.
Mwandishi wa TBC 1 akiwa amejificha wakati wa machafuko hayo.
Chanzo: LATESTNEWZ BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)