SIMBA YAKATAA UTEJA KWA AZAM YAIPA 2-0 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

SIMBA YAKATAA UTEJA KWA AZAM YAIPA 2-0

005
Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara katia ya Simba na Azam zote za jijini Dar es Salaam, umemalizika hivi punde huku timu ya Simba ikiibika na ushindi wa mabao 2-0 mabao yote yakifungwa na Emanuel Okwi.
212Mshabuliaji wa timu ya Simba Emmanuel Okwi akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza  katika mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom,  kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii dhidi ya Azam FC .

VILLA SQUARD v/s POLISO DODOMA

Wakati huo huo mchezo kati ya Villa Squard ya jijini Dar es Salaam na Polisi Dodoma, umemalizika kwa timu ya Villa Squard kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, mchezo uliochezwa katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma muda mchache ulipita.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages