MSANII
nguli mchini wa mziki wa mduara Omari Mkari yupo mbioni kukamilisha
albam mchanganyiko yenye nyimbo kadhaa za kusifia bwana akizungumza na
mwandishi wetu Alisema kuwa kwa sasa ameamua kuweka kando miziki ya
kidunia kwa kuwa wakati umekwenda na sasa atakuwa akishirikiana na kwaya
mbalimbali kwa ajili ya kutoa nyimbo za kumtukuza bwana Akizungumzia
DVD ambayo ipo njiani kutoka itakayokwenda kwa jina la Mkono wa Bwana
iliyotolewa na Amen Part 3 Aliyoshilikiana na msanii wa Zuku Stara Tomas
itakuwa moto wa kuotea mbali kwani kwa sasa kazi hizo zitakuwa
zikisimamiwa na kampuni ya Steps Entatainmenti na kuwa na soko la
uwakika kwakuwa kampuni hiyo imesambaa takribani nchi nzima na nchi za
jirani kwa sasa Albamu hiyo itakayokuwa na nyimbo nane itakua chachu kwa
watu wengu kumtukuza bwana
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)