Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa
Umma PSPF. Bw.Godfrey Ngonyani (kushoto) akikabidhi msaada wa Madawati
60 yenye thamani ya milioni tatuwalioutoa leo kwa Mjumbe wa Kamati ya
Shule Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani, Bi. Jacklin Kitego kulia
na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bi. Anifa Kombo.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakigombania kukaa
kwenye madawati mapya walioletewa na Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa
Umma PSPF.
Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kulia) akizungumza na Wazazi na Wanafunzi pamoja na Bodi ya Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakati walipokwenda kukabidhi msaada wa Madawati 60 yenyethamani ya milioni tatu kushoto Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Bi. Anifa Kombo na Mjumbe wa Bodi ya PSPF Bw. Ramadhani Maneno.
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIBEBA MADAWATI

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)