Hatima ya ugomvi wa mdau Ruge Mutahaba na Mbunge
wa jimbo la Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)
umemalizika baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya Waziri wa
Habari Utamaduni na Michezo, John Nchimbi na Mbunge Tundu Lisu.
Hatima
ya vikao hivyo vimeleta tumaini katika tasnia ya burudani kwani ule
ugomvi wa maneno makali na bifu katika muziki wa kizazi kipya hautakuepo
tena mara tutasikia nyimbo za vinega zikipigwa tena Clouds Radio na
tv...bifu kwishneyi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)