Kamera yetu ilipomnasa mwanafunzi wa kitivo cha sayansi ya jamii sanaa na lugha alipobeba TV yake begani kwaajili ya kuipeleka kuihifadhi kipindi hiki cha likizo ya wiki 2.Mara baada ya wanafunzi wengi kumaliza mitihani yao ya kumaliza muhula wa kwanza na kuondoka kuelekea majumba kwao tayari kwa likizo ya wiki 2.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)