Baetrice
Emanuel Kantimbo(48)mkazi wa kwembe kata ya Kibamba,jijini Dar es
salaam anaomba msaada wa fedha za kumuwezesha kutibiwa mguu wake huko
nchini India,kiasi cha milioni 45 zinahitajika.
Mguu
huo una zaidi ya miaka 12 toka augue na hivi majuzi alifanyiwa
upasuaji hospitali ya taifa muhimbili na kuondolewa nyama
zilizooza.amepimwa hana kansa,kisukari wala shinikizo la damu.
kwa mawasiliano zaidi 0716 850 350 au 0767 850 351 kwa m-pesa au tigo pesa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)