Baada
ya Wanachama watatu wa Chama Cha Wananchi CUF, Hapo jana kutangaza
kujiuzulu uanachama wao, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Bara Bwana JULIUS
MTATIRO, ameeleza kuwa hatua ya kujiuzulu kwa wanachama hao imekuja huku
Baraza kuu la Taifa likiwa katika mchakato wa kuwa chukulia hatua za
kinidhamu.
Wajumbe wa Baraza hilo waliotangaza kujiuzulu nyadhifa zao zote za Uongozi ndani ya Chama hicho hapo jana ni pamoja na JUMA KILLAGHAI, ABUBAKAR RAKESH na Mjumbe wa Sekretarieti ya Vijana Taifa, OMAR COSNTANTINO.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)