Makamu Wa Rais wa Jamhuti ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa na mavazi ya asili ya
kabila la Kikonongo baada ya kuvishwa na kutunukiwa uchifu wa Kabila la
Kikonongo na machifu wa Kijiji cha Inyonga Wilaya ya Mpanda wakati akiwa katika
ziara yake ya mkoa wa Rukwa na Katavi juzi Februari 19, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Mtemi na Chief Mkuu wa Kijiji cha Inyonga,
George Mbaula (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Machief wa Inyonga, baada ya kumvisha
nguo za asili ya Kabila la Kikonongo na kumkabidhi mikoba ya kuwa Chief wa
Kabila hilo, wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Katavi na Rukwa juzi
Februari 19, 2012.Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)