Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Baba mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda,
Exavery Kayanza Pinda, wakati alipokuwa akipita kuelekea Kijiji cha Mwamapuli
akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi jana, Februari 20. 2012. Kulia nia
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Eng. Stella Manyanya.
Mke wa Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha
Bilal,akisalimiana na Mama mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Albetina
Kasanga, wakati wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Katavi jana Februari 20, 2012.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)