MOTO
mkali uliendelea kuwaka kituo cha maraha cha Dar Live huko Mbagala
jijini Dar usiku wa kuamkia leo ambapo wasanii mbalimbali wa Bongo:
Linex, Khadija Kopa, Alex Machejo, na makundi ya ngoma za asili ya
Machozi na Mawazo Group, bendi ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’, Dogo Lila na
msanii Kidum kutoka nchini Burundi, wote hao walikamua sambamba na
washiriki wa shindano la ‘Vaa, Imba na Cheza,Kama Rihanna’ na kuufanya
umati mkubwa ulifoka hapo kupata burudani isiyopimika katika hali
yoyote.
Wasanii hao walitumbuiza kwenye Family Day Bonanza ambalo hufanyika kila siku ya Jumapili chini ya usimamizi wa uongozi wa kituo hicho cha Dar Live kilichopo Mbagala-Zakheem jijini Dar es Salaam
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)