MSONDO NGOMA YAFANYA MAKAMUZI UKUMBI WA MAX BAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSONDO NGOMA YAFANYA MAKAMUZI UKUMBI WA MAX BAR LEO

Waimbaji wa Bendi Kongwe ya Msondo Ngoma wakitoa burudan katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni Jumapili hii kutoka kushoto ni Hasani Moshi TX JR,Eddo Sanga na Juma Katundu.
Wasanii wa bendi ya msondo wakitumbuiza katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni mpiga gita la RIDHIM, Mustafa Pishuu na mpiga tumba Amiri Said Dongo.
Waimbaji wa Bendi ya Msondo ngoma Baba ya Muziki wakitoa burudan wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni Shabani Dede na Juma Katundu.
Wapuliza Saxsaphone wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni Hamisi Mnyupe na Romani Mngande Romariooo.(Picha na www.burudan.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages