Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono kuwaaga wananchi wa
Botswana wakati akiondoka nchini humo kurejea jijini Dar es Salaam
leo.Kushoto kwake ni Mwenyeji wake, Rais wa Botswana,Luteni Jenerali
Seretse Khama Ian Khama.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam,Mh. Meck Sadick, wakati alipowasiri nchini leo akitokea nchini
Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala
cha nchi hiyo.Wengine Pichani ni Viongozi Mbali mbali wa Serikali
waliofika kumpokea Rais Kikwete leo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)