''TWENDE UKAKABIDHI KADI YAKO KWA MKUU''
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea kadi ya mwanachama mpya kutoka CUF, Omar Said Hunda, aliyeamua
kujiunga na CCM, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM,
zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana.
Baadhi
ya Wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM, wakila kiapo
baada ya kukabidhiwa kadi zao za uanachama na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa sherehe
za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi cheti, Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mafia, Abdallah Mdimu,
baada ya Wilaya hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa ulipaji wa Ada za
Wanachama, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho
zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)