Maelfu ya
watu wakiwa kwenye sherehe za kilele cha Maadhimisho ya Miaka 35 ya
Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uwanja wa Kirumba jijini
Mwanza jana. Katika sherehe hizo, Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho,
Rais Jakaya Kikwete alihutubia. (Na Mpiga picha Maalumu)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)