Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng,
aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu cha
China kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng,
aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)