Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na baadhi ya Mabalozi wateule wanaokwenda kufanya
kazi nchi za nje walizopangiwa, wakati walipofika ofisini kwake Ikulu
Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga kabla ya kwenda
kuanza majukumu yao ya kikazi katika nchi walizopangiwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na baadhi ya
Mabalozi wateule baada ya kumaliza mazungumzo nao wakati walipofika
ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili
ya kumuaga kabla ya kuondoa kwenda kuanza majukumu yao ya kikazi katika
nchi walizopangiwa. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)