Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akutana na Balozi Mpya wa Sudan Nchini Tanzania Dr.Yassir Mohd Ali,Mjumbe wa Kampuni ya Camden Hospitality Group Kutoka Nchini Marekani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akutana na Balozi Mpya wa Sudan Nchini Tanzania Dr.Yassir Mohd Ali,Mjumbe wa Kampuni ya Camden Hospitality Group Kutoka Nchini Marekani

Balozi Mpya wa Sudan Nchini Tanzania Dr. Yassir Mohd Ali akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati alipokwenda kujitambulisha Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Kampuni ya Camden Hospitality Group kutoka Nchini Marekani Bw Munir Walji.Kampuni ya Camden Hospitality Group inajishughulisha na Miradi ya Hoteli za Kimataifa za Nyota Tano.Picha na Habari na Othman Khamis Ame-Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages