Mishkaki ya Samaki Nchanga ikiwa imetungwa na ikatungika kama inavyoonekana katika picha
Mtaalamu
wa utegaji wa mboga rasmi katika kijiji cha Mtalikachawa mkoani Mtwara
akimezea mate mshkaki wa panya a.k.a mboga rasmi a.k.a Samaki nchanga
kama anavyoonyesha.Picha na Ahmed Michuzi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)