Madaktari bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakitoka kwenye kikao chao cha dharura jana hospitalini hapo
ambapo waliunda kamati ya kwenda kumuona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuzungumzia mgomo wa madaktari nchini. (Picha
na Robert Okanda).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)