FASHION 4 FLOODS wakabidhi MISAADA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FASHION 4 FLOODS wakabidhi MISAADA

Msimamizi Msaidizi wa mipango na kuratibu katika ofisi ya mkuu wa mkoa Bw.Eliyan.M.Ntandu akimchukuru muandaaji wa Fashion For Floods Mustafa Hassanali, huku Meneja Mradi wa 361 degrees Gloria Mongela akishuhudia tukio hilo katika makabidhiano hayo yalifanyika jana Januari 31,2012 jijini Dar es Salaam.Picha Na Father Kidevu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages