Balozi
Mpya wa Tanzania nchini Oman,Mh.Ali Ahmed Saleh akiagana na Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kabla
ya kuondoka nchin
Balozi
mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr.Diodorus Kamala akiongea na Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo
alipokwenda kumuaga leo asubuhi.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)