Mambo
vipi mdau! ni matumaini yangu uko pouwa na unaendelea na majukumu yako
kama kawaida. Leo ni siku muhimu sana kwangu na familia kwa ujumla kwa
ni siku ya kumbumbu ya kututoka kwa mama yetu kipenzi Mlezi wa familia
yetu. Hivyoutambue uwepo wa kumbukumbu hii na pia naomba uniwekee kumbu
kumbu hii ya Marehemu mama yangu.......
Natangukiza shukrani za dhati kabisa kutoka moyoni! '......PAMOJA TUTAWEZA KUFIKIA MALENGO.....'
.....KUMBU KUMBU
Ni miaka 23 sasa tangu umetutoka
lakini sisi kama watoto wako pamoja na baba ulietuacha huku tunaona ni
kama jana tu umeondoka maana umeenda kimwili lakini kiroho bado tupo
nawe, na kamwe hatutaacha kukumbuka malezi yako bora!
Tukiwa kama familia (watoto wako
pamoja na mumeo (baba)) daima hatuishi kukuombea DUA njema kila kukicha
upate kupumzika kwa kwa amani huko uliko.
Ni matumaini yetu mungu anasikia dua zetu MAMA
Ni sis wanao wapendwa Mariam,
Hussein, Salum, Mariam Hawa pamoja na Baba yetu (mumeo) Sheikh Suleiman
haatuna la zaidi ila ni dua tunakuombea
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJIUN.
Regards:-
Salum Suleiman Lyeme (Sule Junior)
Entertainment writter (Freelance), Graphic Designer (Freelance) / Mwananch Communication Ltd
C.E.O of SULE'S Inc. & ENTERTAINMENT
+255 719 694086
+255 689 566027
+255 767 007515
www.mtotowakitaa.blogspot.com
Salum Suleiman Lyeme (Sule Junior)
Entertainment writter (Freelance), Graphic Designer (Freelance) / Mwananch Communication Ltd
C.E.O of SULE'S Inc. & ENTERTAINMENT
+255 719 694086
+255 689 566027
+255 767 007515
www.mtotowakitaa.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)