Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa Biashara wa Wilaya
ya Bariadi, Leonard Batigashaga akiwa katika ziara ya mkoa wa
Shinyanga Febeuari 22, 2012. Kulia ni Mkewe Tunu.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akialimana na Wananchi wa na viongozi wa wilaya
ya Meatu baada ya kuwasili katika kijiji cha Mwandoya akiwa katika
ziara ya Mkoa wa Shinyanga Februari 22, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa
wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga na wapili kushotoni Mkuu wa Wilaya
ya Meatu Abihudi Saideya.
Ofisi
ya Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina iko katika hatari ya
kuvunjwa kwa vile imejengwa kwenye eneo la akiba la barabara. Picha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyeshwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,
Ally Nasoro Rufunga alama inayoonyesha sehemu ya ukuta wa
ofisi hiyo unatakiwa kuvunjwa. Nyumba hiyo imejengwa kwenye kijiji cha
Mwandoya wilayani Meatu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)