Mshindi
wa pili wa promosheni ya Airtel MZUKA Bi Khadija Omari Issa akiongea
na waandishi wa habari (hawapo pichani) huku akishuhudia kuwa tayari
ammeshapata pesa hizo kwenye akaunti yake mara baada ya hafla fupi ya
makabidhiano rasmi iliyofanyika katika ofisi kuu za Airtel jijini dar
es salaam leo
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi ya
shilingi milioni 50/= iliyofanyika ofisi za Airtel zilizopo Morocco kwa
mshindi wa promosheni ya Airtel MZUKA wakati kulia ni Mshindi huyo Bi
Khadija Omaria, wakwannza shoto ni Afisa Mawasiliano wa Airtel Bi ,
Dangio Kaniki leo.
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akikabidhi hundi ya mfao ya
shilingi milioni 5o/= kwa mshindi wa pili wa promosheni ya Airtel
MZUKA Bi Khadija Omari Issa (kushoto) wakati Afisa Mawasiliano wa
Airtel Bi Dangio Kaniki (shoto) akishudia. Makabidhiano hayo yamefanyika
katika ofisi kuu za Airtel jijini dar es salaam leo.
Mshindi
wa pili wa promosheni ya Airtel MZUKA Bi Khadija Omari Issa
akionyesha cheki yake ya milioni 50/= zawadi alijishindia katika
promosheni kabambe ya Airtel MZUKA inayoendeshwa na Airtel mara baada ya hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi kuu za Airtel jijini dar es salaam leo.
Airtel yakabidhi milioni 50 kwa mshindi wa pili wa MZUKA promo
Mshindi wa promo ya mwisho MZUKA kupatikana mwanzoni mwa Machi
Promsheni mpya ya NANI MKALI itaendelea kufaidisha watea na zaidi ya milioni 200.
Dar es Salaam 22/02/2012 Kampuni
ya simu za mkononi ya Airtel leo imekabidhi kitita cha shilingi milioni
50 kwa mshindi wake wa pili wa promosheni yao kubwa ya MZUKA
inayokaribia kuisha mwishoni mwa mwezi
huu
Akiongea wakati wa makabidhiano
hayo Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando alisema promosheni hii ni
ya muda wa miezi mitatu na tuliahidi kutoa zawadi zenye thamani ya
thamani ya hadi milioni 600/= kwa hiyo leo milioni hizi 50 zinazoenda
kwa Bi Khadija Omari Issa Mkazi wa Dar es Salaam eneo la Magomeni
Kitita hicho cha Airtel MZUKA
shilingi milioni 50 tayari kimewekwa katika akaunti yake na sasa anaweza
kuzitumia kuanza kufanikisha mipango na malengo yake aliyojiwekea
Pia kwa kupitia Promosheni hii ya
MZUKA wa Airtel tayari tumesha toa zawadi nyingine nyingi ikiwemo simu
za Sumsung za kisasa zianzotumia laini mbili zaidi ya 1,200 pia Sumsung
Galaxy S2 zaidi ya 360 na vile vile Sumsung Galaxy 7.0 zaidi ya 180 kwa
wateja wetu mbalimbali walioko nchini Tanzania
Bado mteja wa Airtel unanafasi ya
kujishindia zawadi zilizobaki kupitia promosheni ya mzuka ikiwemo
zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 ambapo itatolewa kwa mteja mmoja
tarehe 2 marchi 2012. Pia bado zawadi nyingine za simu za Sumsung galaxy
kila siku na kila wiki zinaendelea kutoka kama kawaida
Ili mteja aweze kushinda ni
rahisi na pia ni bure. Shiriki kwa kutuma neno MZUKA kwenda 15565 na
namba yako itakuwa inaingia kwenye droo bure
Nae mshindi wa pili wa promosheni
Bi Khadija Omari alisema “Naishukuru sana Airtel kwa kuniwezesha
kujipatia mamilioni haya ya fedha ambayo msaada mkubwa sana kwangu
ninawashauri wenzangu ambao hamjashinda endeleeni kushiriki kwani
mnaweza kuibuka washindi wa ili droo ya mwisho inayofuata
“Nitaitumia zawadi yangu
kuboresha maisha yangu ili niweze kutimiza ndoto zangu nilizokuwa nazo
tangu awali alimaliza kwa kusema Bi Khadija
Artel Tanzania inaendesha na
promosheni nyingine mpya ya NANI MKALI ambapo zaidi ya milioni 200
zinashindaniwa, Ili kushiriki promosheni hiyo mteja anatakiwa kutuma
nene MKALI kwenda 15656 bure na kisha ataanza kupokea maswali tofauti na
kila atakapokuwa akijibu maswali hayo kwa kujibu sms hizo atapata
pointi na kujiongezea nafasi ya kushinda.
Kila SMS itatozwa shilingi 350 tu
hii ni pamoja na kodi. Promosheni zote za Airtel zinadhamira ya
kuwazawadia wateja wote wa Airtel ambao wamekuwa wateja wazuri na
kutumia huduma za Airtel kila siku.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)