Unaposimuliwa
heshima ya Manamke kutoka Bara unaweza kuhisi unadanganywa, lakini pia
heshima kama hii si kwa wanawake wote watokao Bara bali ni katika baadhi
ya mikoa tu ambao bado wanadumisha na kuendeleza mila zao na wengine
hata wakifika sehemu za mijini bado hawabadiliki na wengine wakifika
mjini mwezi mmoja tu kila kitu anasahau.
Lakini
si kwa mwanamama huyu anaonekana ni heshima itokayo ndani ya nafsi yake
kwani huwezi kuamini heshima hii anayoionyesha ni kwa magari ya msafara
wa kiongozi tu ndiyo kapiga magoto haya hadi msafaa wamagari
yalipomalizika kupita katika Kijiji kimoja kilichopo Wilaya ya Nkasi
jana.Picha na Muhidin Sufiani
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)