Hiki ndiyo kiwanda chenyewe kama kinavyoonekana kikiwa kimeteketea kabisa. kiwanda cha magodoro cha Pan African
kilichopo Chang'ombe jijini Dar es salaam, kiwanda hicho kimeteketea
kabisa kwa moto uliolipuka kutokana na mlipuko uliotokea kwenye mashine
za kunolea visu vya kukata magodolo kiwandani hapo, Kamanda Misime
amesema hakuna taarifa ya mtu yeyote kupoteza maisha wala kujeruhiwa
katika tukio hilo la moto. Picha Na Unique Entertainment Blogu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)