Fadhil Abdul
akipamba bendera kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana ikiwa
ni maandalizi ya maandamano
(Dhafa) yatakayofanyika Jumamosi usiku katika mitaa mbalimbali ya jiji
kusherehekea Maadhimisho ya Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)
ambazo kitaifa zitafanyika Kilosa mkoani Morogoro. (Picha na Mohamed
Mambo).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)