Naibu
katibu mkuu wa wizara ya uhusiano wa Afrika mashariki. Bwana Uledi
Mussa akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Ripoti
kuhusu hali ya kijiogrofia katika nchi za jumuiya ya Afrika mashaki
iliyoandaliwa na Benki ya dunia uzinduzi huo ulifanyika katika Hotel ya
Hyatt Regency jijini Dar es salaam leo.
(Picha zote na Philemon Solomon)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)