Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuhtubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na viongozi wa Baraza la Taifa la
NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 kuzungumzia mchakato
wa Katiba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mapendekezo ya Baraza la Taifa la
NGOs Ikulu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 kuzungumzia mchakato
wa Katiba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu
Mh. Mohamed Chande Othman baada ya kuhutubia katika Siku ya Sheria
Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akieasili katika
viwanja vya Mahakama kuu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 na
kupokewa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman nyuma yake, Spika Anne
Makinda (anayepeana nae mikono, na viongozi wa juu wa Mahakama kabla ya
kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo
January 3, 2012.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)