Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwako Msoga, Wilaya ya Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo kwa njia ya
kisasa (zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini hapo. Rais
Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani kwake,
pia analima pia mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya hiyo.
Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza.
(PICHA NA IKULU)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)