WAPENDWA WATAZAMAJI WA TMTV.
TUNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI.
KUMEKUWA NA TATIZO LA KUINGIA KATIKA TV KATIKA SIKU CHACHE ZILIZOPITA.TATIZO HILO LINAENDELEA KUFANYIWA KAZI.
KWA SASA UNAWEZA ENDELEA KUBURUDIKA NA TMTV KWA LINK HII
TUNAWAAHIDI MAMBO MAZURI YANAKUJA,VIDEO KIBAO MPYA ZITAONGEZEKA KWA RAHA ZAIDI KAMA KAWAIDA 24/7 NON-STOP.
SHUKRAN KWA USHIRIKIANO WAKO
TMTV
UTAWALA
Mt Entertainment,, http://livestre.am/1e2FD
ReplyDelete