Rais Jakaya
Kikwete akizungumza na vyombo vya habari muda mfupi baada ya kufungua
Mkutano wa mawaziri wa kilimo kutoka nchi saba za Afrika, Dar es Salaam
jana, ili kuweka maazimio yatakayojadiliwa katika mkutano wa nchi zenye
uchumi imara, G8 na mkutano wa uchumi wa Afrika. Mkutano wa G8
unatarajia kufanyikia Chicago nchini Marekani katikati ya mwaka
huu.(Picha na Mohamed Mambo)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)