Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Jenerali
Mstaafu Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza leo January 6, 2012. Jenerali
Mstaafu Kyaro alikuwa Mkuu wa JWTZ katika serikali ya awamu ya kwanza.Picha Na Ikulu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)