Meneja
wa tigo wa Mkoa wa Kilimnjaro Adolph Sula akimkabidhi kikombe mshindi
wa kwanza wa timu ya Veta baada ya kuifunga timu ya chuo cha Ushirika
moshi kwa penalti 5 kwa 4. Kampuni ya Tigo iliwezesha Bonanza la
wanavyuo mkoani kilimanjaro ili kuhamasisha umoja, ushirikiano pamoja na
kuwajengea wanavyuo tabia ya kupenda na kuthamini michezo.
Timu
ya chuo kiukuu kishiriki cha ushirika na biashara( MUCCOBS) wakiwa
katika picha ya pamoja katika bonanza la michezo lililoandaliwa na
kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kabla ya mchezo kuanza
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)