Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi
(machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda Ikulu ndogo
ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na
ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete
ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)