
Mbunge
wa Bumbuli January Makamba akiwasilisha Hoja binafsi kuhusu sheria ya
udhibiti wa shughuli za upangaji nyumba za makazi aliyoitoa chini ya
kanuni ya 54 (1) ya kanuni za bunge toleo la 2007 ya kuliomba bunge
kuazimia kwa kauli moja ,kuitaka serikali katika mkutano ujao wa saba
kuleta Muswaada wa Sheria ya kudhibiti Upangaji wa Nyumba na Makazi
kufuatia malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wanaoishi mijini kutokana
na adha wanazopata katika kutafuta nyumba za kupanga au kuishi kwenye
nyumba hizo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)