Kutoka kulia ni Mtoto wa Balozi Mdogo nchini Uingereza anaitwa
Maya, anaefuata ni Mwakilishi wa UNOPS Siera Leone Ndugu Omary Mjenga, anaefuata
ni Mke wa Balozi Mdogo Uingereza, anaefuata ni Balozi mdogo wa Tanzania Nchini
Uingereza Mh. Chabaka Kilumanga, na wa mwisho ni Aziz Msuya mtoto wa Balozi wetu
Pretoria Afrika ya kusini.
Mjenga yuko Nchini Uingereza kuhudhuria moja Kikao ambacho
kiko ndani ya majukumu yake ya kikazi.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)