BREAKING NEWS:::WAFANYABIASHARA WA SOWETO MBEYA WAGOMEA KUPANDISHIWA USHURU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWS:::WAFANYABIASHARA WA SOWETO MBEYA WAGOMEA KUPANDISHIWA USHURU

Baadhi ya wafanya biashara soko la soweto jijini mbeya wakiwa katika makundi makundi kujiandaa kwa maandamano kupinga ongezeko la ushuru wa soko toka sh 200 na kuwa sh 300 kwani wanadai ongezeko hilo nikubwa na hawaelewi  pesa inakwenda wapi maana soko ni chafu mazingira ya kufanyia biashara hayafai 
Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la soweto wakipeana mikakati ya mgomo huo
Wateja wakiwa wanashangaa na hawajui la kufanya maana hakuna kinachouzwa sokoni hapo 
Baadhi ya vijana wakijiandaa kuchoma matairi.Picha Na Mbeya Yetu  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages