Napenda kukutakia Kila La Kheri katika Mitihani Yako Ya Kumaliza Muhula Wa Kwanza wa Mwaka Wako wa Mwisho katika Masomo yako ya Shahada Ya Kwanza ya Sociology Mungu akuongoze na Kukubaliki Mdau wangu na Rafiki yangu mkubwa Sana Katika Maisha yangu ya hapa Chuoni Bi mdada Ester Chidodolo ukipenda muite Pretty Chido.Best Wishes on ya Exams
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)