Basi la Shabiby lenye namba za
usajili T 184 ASU lililokuwa linatokea Dar es Salaam kwenda Dodoma
lilianza kuungua maeneo ya Vigwaza na kufanya abiria kuanza kujiokoa,
chanzo cha moto huo ni kujam kwa break na kusababisha moto
kwenye matairi karibu na mlango hakuna mtu aliyezurika wote wamepona.
Pichani ni abiria wakishuhudia jinsi walivyokuwa wakizima moto kwa
kutumia maji ili gari lisishike moto. Shukrani za pekee kwa Dimo Debwe
wa Kajunason Blog ambaye yupo safarini kwenda Dodoma.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)