Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama jiko banifu kwenye jiko la shule ya
sekondari ya Kishapu akiwa katika ziara ya mkoa wa Februari 23, 2012.
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari ya Kishapu wakicheza ngoma wakati Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda alipofungua jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23, 2012.
Askari
wa Jeshi la Jadi yaani Sungusungu wa mji mdogo wa Maganzo wakicheza
ngoma yao wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa
hadhara katika mji huo mdogo akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga
Februari 23,2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwaaga kwa kuwapungia wananchi wa Mji Mdogo wa
Maganzo baada ya kuwahutubia akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga
Februari 23, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)