Ali Kiba akiwa jukwaani.
Akiwatia mori mashabiki wake.
Msanii wa Hip Hop, ‘Roma’, akipagawisha mashabiki.
Muimbaji Rama Pentagon akiwa kazini.
Mzee Yusuf akitoa burudani.
Msanii chipukizi Dogo Lila akipagawisha kwa mashabiki zake.
Akiwa na mdogo wake, Abdul Kiba (kushoto).
…Akionyesha uwezo wa kucheza na wacheza kiduku wake.
Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choki (katikati), akiongoza safu ya waimbaji.
Mpiga drums wa bendi hiyo James Kibosho akiwajibika.
Mmoja wa washiriki wa shindano la ‘Cheza, Vaa, Imba Kama Rihanna’ akiwania kufuzu fainali ya shindano hilo.
Wanenguaji wa bendi wakionyesha uwezo wao.
Mwalimu wa ‘kina Rihanna’ akiwa na wanafunzi wake.
Waimbaji wa Jahazi Modern Taarab, wakiwajibika.
Washiriki ‘Kumi Bora’ wakiwa katika pozi baada ya kufuzu.
---
MAKAMUZI
ya wanamuziki Ali Kiba’ Ibrahim Mussa ‘Roma’ na Bendi ya Extra
Bongo ‘Next Level’, Jahazi Modern Taarab, Dogo Lila na shindano la ‘
Vaa, Imba na Cheza Kama Rihanna’, usiku wa kuamkia leo wametikisa
vilivyo katika kituo cha burudani cha Dar Live.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)